STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
waongoze wanafunzi wataje vitenzi kadhaa |
Wanafunzi wavitaje na mwalimu aviandike ubaoni. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
waongoze wanafunzi kubadili vipashio mwanzoni na mwishoni mwa maneno hayo. |
Wanafunzi wabaini mabadiliko ya maana kutokana na mabadiliko ya viambishi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
waongoze wanafunzi kutoa fasili ya mofimu |
Wanafunzi wafanye mazoezi ya kubadili maana za maneno kwa kubadilisha mofimu |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
waongoze wanafunzi kutoa fasili ya mofimu |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |